Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,037
- 3,034
Mmmh!! hiyo miaka lazima aende kwa mganga kwanza
Nmeuliza tuUsiogope majukumu dreka kufanya au kuto kufanya kazi sio kigezo kwani wewe unaenda kuishi na mwana mke na sio kazi yake. Na istoshe acha kuya kimbia majukumu yako ya kutunza mke na familia huo ni wajibu ulio pewa na mungu.
Acha ubinafsi walio na kazi wasio na kazi wote Wana haki sawa ya kumpata mwanza.
Hahahahha refuka budahSisi wafupi imemega kwetu. Kila anayetafuta mume utasikia 'mrefu'!![]()
Unapeperusha ndege wetu wewe sasaBinti huku kuna majambazi, be care full na ujiandae kuwa make wa pili, hao unaowatafuta,wana watoto wamezalisha tiyari, wengine wagame, wengine maario tegemezii, watakunyonya hadi damu. Wanapenda kulelewa.
Aisee haya chiefAnacheza mkuu ,ndo Dar yetu hii![]()
![]()

Hahaha amekarifu hajui kuna warefu lakini wana vinasaba vya ufupi kila sekta hadi dushe![]()
![]()
kwakweli
itakuwa anadhani kuwa warefu tu ndio wana dushe kubwa, imani potofu
Ndio, ww hujawai kupata?Hivi kweli huku watu huwa wanawapata kweli wachumba?
Poa chief ila mechi km izi ,jitahidi hata Qatar airways utue Kenya hapo then bongo yetu .Simba raha sana.Aisee haya chief
All the best wenye Dar yenu..
Hahaha amekarifu hajui kuna warefu lakini wana vinasaba vya ufupi kila sekta hadi dushe
atuache sisi wa wastani tulio na dushe zetu za maana.Sie wa urefu wa wastani![]()
![]()
atuache sisi wa wastani tulio na dushe zetu za maana.
Kabisa mkuu![]()
![]()
atuache sisi wa wastani tulio na dushe zetu za maana.
Usimkatishe tamaa mwenzio. Na kwa nini hutaki kumsamehe aliye kuzalisha hata sasa ili hali umeolewa huko kigamboni?Unapeperusha ndege wetu wewe sasa
. Msamehe bure dada rose uvumilivu ni ushindi ungevumulia tu. Wana ume wakamilifu hawapo mahali popote duniani ila Wana ume bora wako kila mahali na hata humu jf wamo wengi tuu.

Kwa mpira huo wa bongo, hapana kwakweli...Poa chief ila mechi km izi ,jitahidi hata Qatar airways utue Kenya hapo then bongo yetu .Simba raha sana.





Tecno yako inakusumbua eeUsimkatishe tamaa mwenzio. Na kwa nini hutaki kumsamehe aliye kuzalisha hata sasa ili hali umeolewa huko kigamboni?![]()
. Msamehe bure dada rose uvumilivu ni ushindi ungevumulia tu. Wana ume wakamilifu hawapo mahali popote duniani ila Wana ume bora wako kila mahali na hata humu jf wamo wengi tuu.
Ni mtazamo tu dar rose sio chuki please![]()
![]()
Ndio mkuu ni tecno y 3 kwani Kuna shida yeyote mm kutumia hii na wewe kutumia hiyoTecno yako inakusumbua ee

Shida ni hii output ya tecno.Ndio mkuu ni tecno y 3 kwani Kuna shida yeyote mm kutumia hii na wewe kutumia hiyo![]()
![]()
Usimkatishe tamaa mwenzio. Na kwa nini hutaki kumsamehe aliye kuzalisha hata sasa ili hali umeolewa huko kigamboni?![]()
. Msamehe bure dada rose uvumilivu ni ushindi ungevumulia tu. Wana ume wakamilifu hawapo mahali popote duniani ila Wana ume bora wako kila mahali na hata humu jf wamo wengi tuu.
Ni mtazamo tu dar rose sio chuki please![]()
![]()
Una sh ngapi mzee baba? Mana Mzigua ni mtu wa viwanja
Rafiki mimi ni baba wa Taifa wa viwanja!![]()
Basi umempata wahi folen pm tar 14 sio mbali
Tatizo amefunga pm!![]()
