Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,547
Naona Haujamzarau LeoDaaahhh umeandika kwa hisia sana na unyenyekevu wa hali ya juu !!.
Ukapate hitaji lako .
Naona Haujamzarau LeoDaaahhh umeandika kwa hisia sana na unyenyekevu wa hali ya juu !!.
Ukapate hitaji lako .
Hapana mkuu ,she is really in need !!.. Maandishi yake sio km ya KihubaNaona Haujamzarau Leo

Hapana mkuu ,she is really in need !!.. Maandishi yake sio km ya Kihuba![]()
![]()
![]()
kwhy angekuwa kihuba ungeshamzarau tiali.Nmeshamwambia kua serious ,ajue anachokitafuta.![]()
![]()
![]()
kwhy angekuwa kihuba ungeshamzarau tiali.
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Ney!!Kila la kheri mamii, Mungu akupe hitaji la moyo wako mpendwa.
Mimi nipo tayari kuwa Mme umri wangu ni 31+,kwakifupi nina Bachelor ya civil engineering.Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Mambo vipi best?Ney!!

.Hahahaaaa unawaza wapi jamani?tamka tuuuMambo vipi best?
Ujue nashindwaga kabisa kutamka jina lako najihis kama vile nataka kupanda mlima mawenzi.
Kutamka jina lako hadharani ni kunishushia heshima yangu dear,Hahahaaaa unawaza wapi jamani?tamka tuuu
Kutamka jina lako hadharani ni kunishushia heshima yangu dear,
Heri ya mwaka mpya mpendwa
Heri ya wote mama.Hatari sana aiseeh, namshukuru Mungu kwakweli sijawahi kukosea.![]()
![]()
Heri ya wote mama.
Kwani huwa unahisi ni tamuuuuu sn hiyo tamuuuuu?