Natafuta mume

Habari za week end Wana jf?

Mm binafsi niko salama namshukuru

Mwenyezmungu? Naomba Nitumie nafasi hii

Adhiim ya jf kujitafutia mme..

Mwenye Nia ya dhati anipm,

Am serious jamani

Utani tuweke pemben kdg!!
Ngoja nije pm maana me mwenyewe natafuta mke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom