Natafuta mume

Kweli ww upo serious maana hautaki mambo ya vigezo unachohitaji ni mme tu...mungu akutangulie upate mme mwema.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Dada yangu km unauri usiyozidi miaka28 unaweza ukampata unayemuitaji yaweza nikawa mm au mwingine
 
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Vipi unaweza kuasilina ikiwa MTU muhusika atapatikan maongezi mengine yafanyike private
 
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Tupe your physical description na ikiwezkna kidigo kuhusu tabia na majukmu yako ya kila siku
 
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Niko hapa niambie mke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom