Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.


Karibuni,kejeli sio nzuri
Kama uko tayari kuwa small house unaependwa ni PM tulianzishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom