Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

The world itself is not fair,huwezi pata mwanaume perfect kama huyo unataka,sali sana mrembo!!!!!!
 
Naitwa ibrahim juma ni mwl.primar umr ni miaka 22 ....natafuta mchumba kwa wanajamii ......nataka kuoa kwa aliye tyar naomba tuwasiliane whatsapp 0683708181
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.


Karibuni,kejeli sio nzuri

Mkuu nafikiri alikuwa na maana ya kinky!!! hahahaaaaa!
 
Sio rahisi kumpata mtu mwenye sifa zote uzitakazo coz hakuna binadamu aliyekamilika. Cha msingi punguza papara,siku zote mume mwema hutoka kwa Mungu nasio hivi mitandaoni, hapo watu watakukejeli tu unless ur not serious. Pia jiangalie na wewe,una kasoro gani na jirekebishe. Some times tunakosa wachumba kutokana na kasoro tulizo nazo sisi wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom