Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.
Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.
Karibuni,kejeli sio nzuri

25yrs unataka me wa 40yrs! Mm nina 33yrs ni saiz yako kabisa na vigezo vyote ninavyo, ila namzimikia sana miss chagga japo naogopa kumtongoza! Hebu nipe vigezo vyako vinavyoweza kunishawishi upendo wangu nikauhamishia kwako!
hapana serenget boy........stooooop
mm ni bint wa 25...pretty n i respect my self...
ndo maana nataka yule alie komaa
miss chagga kamata fursa tafadhali. Mjumbe hauwawi lakini.
haya ngoja nimkimbize
Kimbiza mwenge mama
kama huna tuliaa ankovigezo unavyovitoa utafikiri wewe ndo unaumba wanaume
Bytheway nafanya kazi nimeajiriwa katika NGO fulani am not a goal digger