nani amekuambia anaenda?..atafutaye hachoki..nijibu pm yangu basi..Haya nenda salama,wasalimie kigoma
Please tuwasiliane kwa namba 0656353925 tutaongea zaidi.
Weka picha...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi.