Natafuta mume wa kunioa tafadhali

Usiseme mrefu wastani toa vipimo ni futi ngapi.Wabongo wengi ni kina mrisho ngasa hashim thabeet wachache.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi.

tatzo wengi wenu hampo sereous
 
Mie niko tayari nitakupateje dada angu? Nina miaka 30 na ni mtumishi wa umma.tafdhari nijuze namna tutakavo communicate.
 
mhh dada unakazi ya kupembua pumba na mchele maana hapa sebuli ni hiv ss sijui huko chumban pm hali ikoje ila ukizichanga karata zako vyema utampata unayemtaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom