Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Hahahaaaaaaaa, where you exist?? hii pia ni mupya bana!!!
Bring you a email. Lols
Hahahaaaaaaaa, where you exist?? hii pia ni mupya bana!!!
hakuna ww...hawa ni walewale wajinga wajinga humu ndani wanaobadilisha badilisha ID zao kuzingua watu.Jana ndiyo umeingia Jamvini,leo thread ya kwanza unataka mume,kwanini usisome kwanza sheria za mchezo? Una hofu na Mungu gani?
kama ni mgeni, basi bila shaka hata tabia za baadhi ya wanaJf pia hazifahamu. mi namshauri walau awe na subira kidogo aweze kuzisoma tabia za watu mbalimbali wa jf kabla hajaanza hayo mawindo yake!!
Usichana mwisho ni miaka mingapi?
Jana ndiyo umeingia Jamvini,leo thread ya kwanza unataka mume,kwanini usisome kwanza sheria za mchezo? Una hofu na Mungu gani?
Ukitaka jua majina halisi ya watu weka tangazo kama hilo lazima uwadake wengi sana.
Swali la kujiuliza ni je
Kakosa watu mtaani kwake au kijijini hadi aje mtandaoni?
Ndugu yangu waume sikuhizi imekuwa issue sio kama enzi za mama zetu walikuw wakimaliza tu shule au college mume huyo, sikuhizi watu wanasotea ile mbaya, jiulize kwanini sikuhiz ma single mother ni wengi, kwasababu wa dada wanasubiri mpaka wanakata tamaa, me mwanamke naelewa exactly wats going on kwa kuwa nina rafiki zangu zaidi ya 10 ambao wanahaha kupata waume, kwa kweli namshukuru Mungu sana alienipa mimi mume kwa njia ya ambao si ya kusumbuka kama hivi
Watafuta Mume wa Mtu ili uolewe naye ? au watafuta Mwanaume atakayekuja kukuoa?
mwisho 16 ageUsichana mwisho ni miaka mingapi?
Please tuwasiliane kwa namba 0656353925 tutaongea zaidi.