Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,093
vigezo vyote ninavyo ila ni mfupi 4"1/2 na mweusi tii, vipi hapo pm me pls
Mungu akujalie utape hitaji la moyo wako
Ila sidhani kama unaweza kumpata hapa
labda pengine unashauri aende wapi!
Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.
Asiye na elimu kama yako inakuwa "lugha gongana." Hebu tuanzie na lugha yako kwanza.Hapo inakuwa jazi sana naogopa lugha gongana wanaume wengine huwa na inferiority complex
Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.
i hv[ 37
I am 37. Sawa eeeh..! Ashakuambia elimu yake ndefu, afu elimu zetu za kibongo unapimwa kwa uwezo wako wa kiinglishi...shaurilo..!
Ayaaaa kashakosa mke kwa elimu yake fupi...