Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.
sababu za kuachika? na mie navyojua ndoa ya kikristo hawachani. ex husband yupo alive? huna mtoto je unapanga kukaa maisha yote bila kuzaa?