Natafuta Mume Umri 38-43

Natafuta Mume Umri 38-43

LadyDD

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
34
Reaction score
17
Wakuu, ninashukuru Mungu na uwepo wa JF .

Ninawashukuru wote waliochangia kwenye huu uzi na wale walioonyesha interest munisamehe tu bure ikiwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine hapa na pale. Mungu awajarie kila lenye kheri na baraka tele.

Nachukua fursa hii kuufunga rasmi huu uzi.

Ahsanteni na mubarikiwe sana!
 
mimi nina diploma ila nipo tayari kabisa uwe wife,na umri wangu ni miaka 34 kama upo tayari njoo pm mama tupange mkakati,
 
Sasa mama mimi nina shuguli yangu ya halali nina duka ila sina digree hapo vipu?
 
Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.

Hebu PM kwangu nikupe ushauli mwingine wa bure.kuna mahala umekosea japo unajiona uko sawa,njoo haraka
 
Habari wakuu, naingia leo jukwaa hii kutafuta mtu ambaye naweza kumuamini akawa mtu wangu wa karibu maishani. Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa rafiki na mume.
Sifa zangu: Umri kati ya 35 na 38, Ninafanya kazi, Dini mkristo, Elimu zaidi ya degree ya kwanza. Nipo Dar es Salaam, nilishawahi olewa, na sina mtoto.
Sifa zake: Awe mkristo, Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato, Umri 38-43, akiwa na mtoto sio tatizo. Elimu at least degree ya kwanza. Kwa walio serious tu. Karibuni.

Kwanza tueleze sababu ya kuachana na mwanaume mwenzetu. Tukijua kilichomshinda mwenzetu tutakua na pakuanzia. Samahani kama nitakua nimekuudhi.
 
Na pia amlete hapa tusikilize na hoja za upande wa pili. Tukisikia tujue wapi pakuishia. Samahani pia.
 
Kabila lako plz manake ucje ukawa na degree ya kigodolo na mdundiko kila siku waenda msoga
 
Kwanza tueleze sababu ya kuachana na mwanaume mwenzetu. Tukijua kilichomshinda mwenzetu tutakua na pakuanzia. Samahani kama nitakua nimekuudhi.

Ambaye yuko interested ataelezwa...
 
mm nina 43 na Master ktk finance, ni Mkurugenzi wa fedha. Ni pm tutaongea zaidi
 
Back
Top Bottom