Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,964
- 12,433
Hivi vitu akiviona kijana masikini ataviongezea kwenye sera zake za kutaka uraisi 😂Zangu mbavu
Hivi vitu akiviona kijana masikini ataviongezea kwenye sera zake za kutaka uraisi 😂Zangu mbavu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hivi vitu akiviona kijana masikini ataviongezea kwenye sera zake za kutaka uraisi 😂
Uraisi haukufai 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
![]()
Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...www.jamiiforums.com
Usimshangae hao wa 40 na kuendelea ndo waoaji na tayar wamejitafta, anabaki kulelewa tu Yuko sawa kabisa
Biashara mauzo!...tuma picha tuone sababu ya kukosa mwanume mpaka uje kujitangazu huku jamiiHello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Kwanini sasa huoni napambania wanaume hapo! Na kimsingi wengi wetu ndiyo jobless.Uraisi haukufai 😂
😂😂😂Hivi vitu akiviona kijana masikini ataviongezea kwenye sera zake za kutaka uraisi 😂
Ndo makalio ukaona jambo la msingi 😂Kwanini sasa huoni napambania wanaume hapo! Na kimsingi wengi wetu ndiyo jobless.
Unataka mume ama unauzaHello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Yaah ni jambo namba 1 kwa karibia robo tatu ya wanaume tunapohitaji wenza.Ndo makalio ukaona jambo la msingi 😂
Basi mimi siyo miongoni mwa hiyo robo 3 kwahiyo kura yangu hupati 😂Yaah ni jambo namba 1 kwa karibia robo tatu ya wanaume tunapohitaji wenza.
😂😂😂 na ndiyo ilivyo hapa nitapata kura za wengine na kura yako nitaipata kwenye hoja nyingine.Basi mimi siyo miongoni mwa hiyo robo 3 kwahiyo kura yangu hupati 😂
Katumwa huyo ili ale mafao ya mstaafu,hiyo ni calculator ya pesa
Mimi nina raisi mmoja tu Intelligent businessman😂😂😂 na ndiyo ilivyo hapa nitapata kura za wengine na kura yako nitaipata kwenye hoja nyingine.
Hamna rais hapo, ngoja niishie hapa.Mimi nina raisi mmoja tu Intelligent businessman
Kijana majonziHamna rais hapo, ngoja niishie hapa.