mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 850
- 662
Wana dosari gani kaka, tupe faidaHauna bahati, mimi wanawake wa Arusha No Way tena mbaya zaidi Sakina!
Ni warembo ila la! Hapana.
Wana dosari gani kaka, tupe faidaHauna bahati, mimi wanawake wa Arusha No Way tena mbaya zaidi Sakina!
Ni warembo ila la! Hapana.
ndio mapenzi yakeHuyu anatafuta mzazi wa kumlea , miaka 50 si baba yako kabisa huyo duh!
Hongera sanaHello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Umepata au bado unatafutaHello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
Wameru wa SING'ISI moto unawakawewe ni mmeru
Mambo yasiwe mengi akataka wanene uhakika hawana msongo wa mawazo wamejipata kiuchumi.Atakuwa amewalenga wenye financial stability
Hataki mwanaume wa kumwambia kuna deal nalisubiria 😅🙌
Hahaha........hao waliojipata ndiyo kazi kuwapataMambo yasiwe mengi akataka wanene uhakika hawana msongo wa mawazo wamejipata kiuchumi.
🤣Hatimaye Wanaume wanene
Kaangalie hiyo post ali like nani, ndio uta jua mimi sipendi kelele 😂🦅
Wewe bhana kujimaliza umeanza kitambo 😂Kaangalie hiyo post ali like nani, ndio uta jua mimi sipendi kelele 😂🦅
Zangu mbavu