Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,732
- 3,267
Siku Zote Mwanamke Aliyopo Kwenye Hit Utamjua Tu, Hupenda Sana Kutafuta Wanaume Kwa Lazma.Punguani mkubwaa..Mletee wa mtaani kwenu.
Siku Zote Mwanamke Aliyopo Kwenye Hit Utamjua Tu, Hupenda Sana Kutafuta Wanaume Kwa Lazma.Punguani mkubwaa..Mletee wa mtaani kwenu.
Huyo Sio KE Ni ME Sema Tu Ameamua Kuwazingua.Huyu binti ni kweli anahitaji mume!..kahangaika sana kuanzisha thread nyingi humu!..asaidiwe
ndugu unajua maana ya counseling? au unamaanisha guidance?Njoo nikufanyie counselling
UmemuumbuaUnataka wangapi?
Nimempata nimpendae
Hivi nyie wanaume ambao kila uzi wa anayetafuta mume/mchumba mpo huwa 'hamfanikiwi?'
Miaka nenda rudi...
Mkuu njoo stendi huku wako kibao!!Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Kama uko serious ni pm. mi pia nina uhitaji wa mwenza.Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Njoo inboxAwe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Unakosea kutafuta aliyejiajiri au mfanya biashara. Inaonekana unatafuta uchakavu a.k.a fwedhaAwe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
kwanini unahisi anaota? 😀😀😀😀😀
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu