mama diwani
Member
- Aug 6, 2025
- 77
- 140
UNA WATOTO WANGAPI?Mimi ni mama wa miaka 23
Niko Dodoma
Kazi mtumishi
Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene
Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
Tuonane kesho Nane-Nane tuyajenge.Mimi ni mama wa miaka 23
Niko Dodoma
Kazi mtumishi
Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene
Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
Miaka 23 tayari ni mama!!,,Mimi ni mama wa miaka 23
Niko Dodoma
Kazi mtumishi
Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene
Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
Wewe sasa angalau umekuja vizuri. Ulevi umenikosesha bahati. Kila la kherisichagui dini Wala kabila
New ID once again, ila kwenye ID ya siku zote ndo mnakuja na mada za kejeli kwa wanaume 🔥
Mtu ana ID za kazi maalumu tuu 😂JF imekuwa Kama Ligi uarabuni ukimaliza maisha yako ya mpira ulaya unaenda kucheza uarabuni .
Wakipanda wanachelewa kushukaKwanini hupendi wanaume wanywaji?!
Kwanini mwanaume mwenzetu alijenga, alafu unataka wanaume wengine wakufanyie finishing nzuri haiwezekani lazima finishing iwe ya bei poa.Mimi ni mama wa miaka 23
Niko Dodoma
Kazi mtumishi
Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene
Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
Kasema walevi...Kwanini hupendi wanaume wanywaji?!
Walevi na wanywaji hapo kamixKasema walevi...