Natafuta MTU wa Part time-Marketing

Natafuta MTU wa Part time-Marketing

lauti

Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
92
Reaction score
13
Mimi ni muajiriwa lakini pia huwa nafanya kazi zangu binafsi za kuandaa financial statements, and other Accounting issues like VAT etc, nilikuwa natafuta mtu wa marketing, awe ameajiriwa au hajaajiriwa, ambae atatafuta wateja kwa muda wake yaani wateja wataokuwa wanataka kufanyiwa uhasibu. malipo yatakuwa ni 30% ya fedha atayolipa client...mengine tutadiscuss tukikutana...if your interested ni PM.
 
Back
Top Bottom