Natafuta mtu wa kupigana naye.

banned do

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
574
506
Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss ugomvi
 

Attachments

  • pig-banned.jpeg
    pig-banned.jpeg
    31.2 KB · Views: 57
  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    19.8 KB · Views: 57
Niliua punda kwa kumzaba kofi la shavuni, kwa hiyo na wewe kama unataka kurudi mavumbini nitafute. Weka bango la matongozo ah! Sorry, la matangazo ili tupigane kwa pesa ambazo zitakusaidia matibabu ICU endapo utanusurika kifo.
 
tunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.

mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli
Mimi siyo Roma shauri yako.Kawaambie hata waje na Treni au Sabumarini mi siogopi labda waje na wembe.
 
Wewe unaonekana muoga sana maana mi nimekunja ngumi,nimevuka mstari na mchanga nimeputa we bado unaongea tu.Ngoja nivue shati sasa kisha nivae kandambili mikononi.
HHaha sitaki kuwa na kesi baadaye ndo maana nataka usiache shida nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom