Natafuta mtu wa kuniwekea Microsoft office kwenye computer yangu

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Natafuta MTU wa IT maeneo ya Mbezi ya Kimara Kwa Ajili ya kuniwekea programs kwenye PC yangu hasa Microsoft offices.

Anayemfaham au kama ni wewe weka no yako nikutafute.
 
Ushapata mkuu?
 
Unayo?
Utamlipa bei gani?
Andaa moderm ya internet
 
Pole mzee wa mishemishe kwangu mimi naiona jf app ngumu kuliko kufanya installations za windows softwares
 
Back
Top Bottom