Natafuta mtu wa kunishika mkono

Haya ndio ulitakiwa uyaseme sio kumbeza alietoa wazo la kuuza uji. Ni mjadala huru.
Unahs mtu aliezoea kukaa ofisini most of times ni rahsi baada ya kuachishwa kazi kuweza tembeza uji? Mental health ni muhimu, pia ni lazima ajipange psychologically,

Hilo wazo la kuuza uji lingekua ni very last option kabisa baada ya Watu hapa JF kuhitimisha kuwa hawawez msaidia kabisa, you guys are jokers you are not taking it seriously , it's someone Life here we are trying to help.

Kuna muda Watu mnajisahau sana you can't be joking about everything there are times to be serious
 
Duh kazi ipo.
 
Duh kazi ipo.
Sio Kwa ubaya ndugu yangu ,
Mi naona anayeweza msaidia either Kwa kumuongezea capital au kumpatia kazi ajitokeze amsaidie.

Ikishindikana kabisa atatupa mrejesho ndo tumpe business idea afanye nn!

Ni kwa lengo jema TU.
 
Nina imani njia nzuri itakuwa nawe, ila wakuu kuweni makini -tafakari kwa umakini

why ataje kiasi Cha pesa alichonacho??, aweke namba ya simu kirahisi hivyoo ?? Mshana Jr uzi wako unataka kutimia hapa
Mtego, mtego. Nasema, mtego........
Mara paaaaaa.....umenasa!!!
 
Ni kweli inatakiwa ajiandae mental af mazingira ya home dah jau Mungu akufanikishe mwanasuaso.
 
Umemaliza na kina kasanga pale SUA?
 
Kwa hiyo hiyo namba ya Simu Siyo yako, haijasajiliwa Kwa majina yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…