the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Namba yako imesajiliwa Kwa majina yako halisiPlease Kama , unadhani Kuna utapeli hapa, Kama unadhani Kuna janja janja ya aina yeyote , Sina nia hiyo, nimeweka namba kwa sababu PM zimefungwa sikuhizi na moderators, email yangu siwezi weka kwa sababu Ina majina yangu mawili halisi , na Ni njia rahisi ya kufikiwa.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
NdiyoNamba yako imesajiliwa Kwa majina yako halisi
Sawa ahsantesawa Hellena Busi tutatafutana kwa msaada zaidi
Ikiwa Kuna njia utanipatia nikutumie email yangu naomba nunipatie mkuu. PM zimefungwa .Hello habari
Natamani kukusaidia ila kuna ukakasi kama wewe umeshindwa kuweka email yako sababu ina majina yako kwa nini mimi niweke email yangu ili utume motivational letter na CV ambayo inamajina kabisa yangu na jina la kampuni?
Best.
Thank you Mr Mshana. NakukubaliNadhani huyu ameongea ukweli wa moyo
I can provide you with my email. Wala so shidaHello habari
Natamani kukusaidia ila kuna ukakasi kama wewe umeshindwa kuweka email yako sababu ina majina yako kwa nini mimi niweke email yangu ili utume motivational letter na CV ambayo inamajina kabisa yangu na jina la kampuni?
Best.
Naomba nisikujibu.Inaonekana ni mkweli, hata namba labda kaisajili kwa hili tu na akipata msaada ataifunga na pia inakuwa rahisi kwani hata ukimpigia Bado hatojua ni nani aliyepiga kwa jina la Jf!
Hongera kwa kujitafutia kipato halali maana kwa huo mguu ungejiongeza Wala usingekuja hapa kutaka msaada!
Shukran kwa madini mkuuKama utakuwa na nafasi jaribu kupeleka Cv na kufika ofisi za kampuni za kahawa kama Cotacof,Dorman,Kijani Hai huwezi kukosa kuna ex SUA kibao wameshika vitengo.
Pia pale Tumbaku Morogoro Road kiwanda kimeanza kazi, ukienda kama umewahi pita kazi za field huwezi kukosa nafasi vitengo vya production au quality control kwa kazi za msimu.
Nakupongeza sana kwa kujitolea kusema na kuomba kwa jamii kwa lile linalo kusumbuwa, naomba kama upo Dar ujaribu kupita humo kwenye viwanda mbali mbali vya utengenezaji wa vitu, au usindikaji wa bidhaa naamini huta kosa pakuanzia, kwamfano mbagala,kurasini, changombe nk, Mtumainie sana Mungu na kumtanguliza kwa kila hitaji lako amahakika hatakuacha utange tange bure atakupa njia iliyo bora ktk utafutaji wako. Usife moyo, usikubali kwenda kwenye mstari ambao huusadiki naamini utafanikiwa ni mapito haya wote tulipita humo humo.Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.
Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.
Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.
Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Vipi ikitokea kazi ambayo working environment haziko favourable, lakini inaweza kukuboost, will you take it?Elimu yangu: Bachelor degree Agricultural Economics and Agribusiness
Kazi ninazoweza, both field and office works, kazi zote ambazo naweza kufundishwa namna ya kuzifanya naweza fanya.
Napendelea kazi ambazo zina favourable working environment , both mentally and physically.
Pia kazi za viwandani.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Zimefungwa tokea lini? Mbona zinafanya kazi?Please Kama , unadhani Kuna utapeli hapa, Kama unadhani Kuna janja janja ya aina yeyote , Sina nia hiyo, nimeweka namba kwa sababu PM zimefungwa sikuhizi na moderators, email yangu siwezi weka kwa sababu Ina majina yangu mawili halisi , na Ni njia rahisi ya kufikiwa.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu , nitafanyia kaziNakupongeza sana kwa kujitolea kusema na kuomba kwa jamii kwa lile linalo kusumbuwa, naomba kama upo Dar ujaribu kupita humo kwenye viwanda mbali mbali vya utengenezaji wa vitu, au usindikaji wa bidhaa naamini huta kosa pakuanzia, kwamfano mbagala,kurasini, changombe nk, Mtumainie sana Mungu na kumtanguliza kwa kila hitaji lako amahakika hatakuacha utange tange bure atakupa njia iliyo bora ktk utafutaji wako. Usife moyo, usikubali kwenda kwenye mstari ambao huusadiki naamini utafanikiwa ni mapito haya wote tulipita humo humo.
Ikiwa unfavourable but tolerable I can take it.Vipi ikitokea kazi ambayo working environment haziko favourable, lakini inaweza kukuboost, will you take it?
Mfano Ni huu.Zimefungwa tokea lini? Mbona zinafanya kazi?