chichi pilato
Senior Member
- May 26, 2019
- 132
- 97
What went wrong kwani!?? Tatizo ni nini!?Ndoa Sasa Naona Ndiyo Ugonjwa Mbaya Sana Kuliko Maradhi Mengine, Kila Kukicha Afadhali Ya Jana
Kwa hio umeamua kumtumia mrembo wangu financial services kama kipoozeo cha jamaa? Hebu jiheshimu mkuu!Wasiliana na huyu mrembo financial services mnaweza kuyajenga mkuu. Na kukushauri
Upo tayari kuvunja agano kanisani?
Ndoa yako inachangamoto zipi tukushauri. Tatizo halitatuliwi kwa kutafuta mwanamke mwingine. Bali kwa kukaa chin na kusolve hizo changamoto.
Ukiongeza mwingine ujue umemultiply matatizo
HahahahaMwanamke mmoja anakupasua hivo?
Je ukiwa nao wawili itakuwaje?
By the way huko unapotaka kwenda utakutana na kero kubwa kubwa tu.
Hapana mkuu. FS atamshauri tuu. Lakini alisema jimbo lipo huru kwa sasaKwa hio umeamua kumtumia mrembo wangu kama kipoozeo cha jamaa? Hebu jiheshimu mkuu!
Uliskia wapiii? Ulisikia wapiiii?Hapana mkuu. FS atamshauri tuu. Lakini alisema jimbo lipo huru kwa sasa
Abiria chunga mzigo wako, Matapeli tuko kazini; tunacheck tu! ππKwa hio umeamua kumtumia mrembo wangu kama kipoozeo cha jamaa? Hebu jiheshimu mkuu!
shenziii taipuAbiria chunga mzigo wako, Matapeli tuko kazini; tunacheck tu! ππ
[emoji51][emoji51][emoji16]Uliskia wapiii? Ulisikia wapiiii?
Mwanamke mmoja anakupasua hivo?
Je ukiwa nao wawili itakuwaje?
By the way huko unapotaka kwenda utakutana na kero kubwa kubwa tu.