kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,542
- 1,279
Kwanza hongera kwenu vijana mliochaguliwa UDSM mlimani campas. Ila ninachopenda kuwaambia UDSM ina mazingira mazuri sn ya kusoma lakini sio kupiga usingizi kwani kubebana ni jambo la kawaida kwaiyo naomba atakaepata room main campas anibebe. Mimi ni kijana wa kiume nasoma PSPA mwaka wapili.