banambavu
Member
- May 4, 2012
- 62
- 15
nguruwe 500 ni ekari kama tano ila inategemea mabanda unajengaje! na je nguruwe hao ni watoto ama wakubwaSi kweli,nguruwe 500 ni wachache sana.Kiasi kuwa unaweza ukatumia eneo dogo kama nusu heka,kwa kujenga banda kubwa halafu ukakata vyumba ndani yake.mfano mzuri ni Jamaa wapo vikindu ambao Mimi huwa naamini wanaongoza kwa Ufugaji Wa nguruwe
Hawa Jamaa wana nguruwe zaidi ya 3000 na eneo walilotumia kujenga mabanda yao ni kama heka moja