Natafuta Mtoto wa Hiari

Natafuta Mtoto wa Hiari

kama unazalisha njoo tuzae wote
.......masai dada una shida ya mtoto? Huyo jamaa ameandika thread tofauti tofauti zinazotatanisha kiasi kwamba inatia shaka kama kweli ni mwanaume, mwanamke au shemale.

Tazama hapo juu Tyta amejaribu kuwek hizo post zake zenye utata.

Kama vipi anzisha thread yako ya kutafuta mtu wa kuzaa nae ili tujaze PM yako kwa maombi ya nafasi hiyo adimu lol!!
 
upo serious mkuu mbona hujataja umri?,mi nipo tayari nipo chuo mwaka wa pili na sina mkopo huku nikidaiwa ada................nitafurahi sana ukiwa baba yangu

Hahahaha.. mkuu wewe ushakua chemba bhana ufaiiiii
 
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27

Mkuu wewe ndie Rugemalira nini?
 
Kuna harufu ya utapeli hapa.
@mods Invisible saidieni hapa , watu wasije wakalizwa kwa maana sisi wabongo wengi ni mizigo.
 
Last edited by a moderator:
mwanangu wa hiari ni ile hali ya mtoto mwenyewe kwa akili zake timamu bila kulazimishwa na wala kushawishiwa na mtu au kitu anakubali niwe baba yake hapa Duniani

asante, ila sentensi yako bado ina utata kidogo hapo kwenye baba yake hapa duniani unamaanisha nini sababu kama ni baba wa kawaida hiyo huwa inakuja auctomatically kutokana na jinsi ulivyo katila jamii bila kulazimishwa wala kusawishiwa kutoka kwa watu unaoishi nao na wale unaokutana nao sehemu mbalimbali katika shughuli mbalimbali inatokea tu mmekua connected
 
[Q UOTE=masai dada;11428699]kama unazalisha njoo tuzae wote[/QUOTE]
Qwi qwiiii duh!!!
 
.......masai dada una shida ya mtoto? Huyo jamaa ameandika thread tofauti tofauti zinazotatanisha kiasi kwamba inatia shaka kama kweli ni mwanaume, mwanamke au shemale.

Tazama hapo juu Tyta amejaribu kuwek hizo post zake zenye utata.

Kama vipi anzisha thread yako ya kutafuta mtu wa kuzaa nae ili tujaze PM yako kwa maombi ya nafasi hiyo adimu lol!!

aisee ndo nimeona muda huu macho yamenitoka
NIMETOKA NDUKI
 
Masai Dada, masai dada! Hili jina taratibu linaanza kupata nafasi ndan ya moyo wangu kabla hata sijamfaham mmiliki halali wa hili jina! Ubarikiwe!

aiseee
limechukua chemba zote nne za moyo au ndo bado linaingia kupitia Aorta
 
Ng"aaaaaaaaaaaa..............ng"aaaaaaaaaaaa.................ng"aaaaaaaaaaa................
 
[QUOujasemkBella;11422484]Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27[/QUOTE]
Mchukue mshana Jr/stroke
Ila ujasema unawatunzaje isije ikawa mambo ya orphans fund rising wanaonyeshwa fungi likiingia unawatema
 
Back
Top Bottom