Natafuta Mtoto wa Hiari

Natafuta Mtoto wa Hiari

Mbona baba Eve hajibu? Ameingia mitini, au ndo ashapata mtoto? Bora aje aseme maana huku watoto wanapigana vikumbo.
 
Nenda pale Fire mkuu kuna madogo wa 'kumwaga' wanaomba omba, kachague mmoja uishi nae

Faya pale wengine ni makampuni ya ujasiriamali yale (wanatumia watoto kuomba, jioni wanarudisha hesabu kama daladala), bora aende kwenye vituo vya kulelea watoto yatima atawapata wa uhakika
 
Mm ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46,natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari,tuwasiliane kwa 0715 33 85 27

wakati wengine wanatafuta wababa walowa zaa kumbe wewe unahitaji mtoto. hebu ni pm japo mwanangu aite baba kwa mara ya kwanza
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46 nina nia ya dhati na heshima kubwa natafuta mtoto mwanamke wa hiari awe mwanangu wa kweli hapa duniani,sina kipingamizi ktk umri!!naomba tuwasiliane kwa 0715 33 85 27 Karibu sana Binti yangu!!
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46 nina nia ya dhati na heshima kubwa natafuta mtoto mwanamke wa hiari awe mwanangu wa kweli hapa duniani,naomba tuwasiliane kwa 0715 33 85 27 Karibu sana Binti yangu!!

Unahitaji wa umri gani???
 
baba samahani mimi sijakuelewa naomba ufafanuzi kidogo mwanako wa hiari kivipi?
 
baba samahani mimi sijakuelewa naomba ufafanuzi kidogo mwanako wa hiari kivipi?
mwanangu wa hiari ni ile hali ya mtoto mwenyewe kwa akili zake timamu bila kulazimishwa na wala kushawishiwa na mtu au kitu anakubali niwe baba yake hapa Duniani
 
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com
 
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27

Shikamoo baba, nilikua naomba hela ya sikukuu.
 
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27

Tarehe 10.08.2012 ulisema wewe ni msichana wa miaka 18 na ulikuwa unatafuta kazi. Leo tena ni mwanaume wa 46?? Kulikoni. Ngoja wataalam waje!!
 
Tarehe 18.06.2012 ulisema wewe ni msichana wa miaka 18 na ulikuwa unatafuta kazi. Leo tena ni mwanaume wa 46?? Kulikoni. Ngoja wataalam waje!!

Hebu weka hiyo link mkuu!! Kama kweli huyu inafaa alambwe ban!
 
Tarehe 18.06.2012 ulisema wewe ni msichana wa miaka 18 na ulikuwa unatafuta kazi. Leo tena ni mwanaume wa 46?? Kulikoni. Ngoja wataalam waje!!

Umeona eeh, na kuna thread nyingine kasema ana miaka 40 anatafuta mke wa kuoa. Hapo ana nichanganya kidogo, aidha ni tapeli, ana joke au ana jinsia mbili:what:
 
Back
Top Bottom