damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
upo serious mkuu mbona hujataja umri?,mi nipo tayari nipo chuo mwaka wa pili na sina mkopo huku nikidaiwa ada................nitafurahi sana ukiwa baba yangu
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27
Sina kipingamizi ktk umri!
Nikupe wazo, ukienda
kweny vituo vya watot yatima utapata mtot atakaye kufaaa sana. Ni wazo
jema kaka
Umeona eeh, na kuna
thread nyingine kasema ana miaka 40 anatafuta mke wa kuoa. Hapo ana
nichanganya kidogo, aidha ni tapeli, ana joke au ana jinsia
mbili:what:
mm nilishamsoma ndo maana nimemwambia anichukue mie ili nilete ushuhuda hapa
Hebu weka hiyo link mkuu!! Kama kweli huyu inafaa alambwe ban!
kule process ndefu mpaka ampate miaka itapita anichukue mie tu
Haswaaa! huko ndiko sehemu sahihi kabisa ya kupata uyo mtoto umtakaye.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46 nina nia ya dhati na heshima kubwa natafuta mtoto mwanamke wa hiari awe mwanangu wa kweli hapa duniani,sina kipingamizi ktk umri!!naomba tuwasiliane kwa 0715 33 85 27 Karibu sana Binti yangu!!
REKEBISHA HUKU BASI...Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27
Sifahamu jinsi ya kuweka link, ila ana uzi humu wa tarehe 10.08.2012 unaosema yeye ni msichana wa miaka 18 anatafuta kazi. Ngoja wajuzi wa kuweka Tyta waje watauweka hapa. Huyu ni mwendawazimu tu.
Ndugu marafiki zangu hapa jamii mimi ni msichana,nina miaka 23,kwasasa nipo DAR,nimejitokeza hapa, NATAFUTA KAZI,NIMEITIMU CERTIFICATE YA COMMUNITY DEVELOPMENT GENDER AND CHILDREN,kutokana na hali ngumu ya Ajira,Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,namba yangu ya simu ni 0755 08 47 15,ahsanteni marafiki zangu,naamini kupitia nyinyi NITAFANIKIWA KUPATA KAZI.
Asante sana baba yangu,I were eagerly looking for you.
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27
REKEBISHA HUKU BASI...
Date of Birth:October 21, 1994 (20)
[h=3]Mimi ni msichana nina miaka 23,natafuta kazi yoyote halali[/h] Started by BlackBella, 9th December 2013 16:50
itabidi daddy atufanyie intavyuu naona watoto tupo wengi ha ha ha
ha ha ha daddy ana lumbesa ndani