Natafuta mteja

Natafuta mteja

Nina kabilioni hivi ka shopping utanfanya nisiende shopping yangu CA! Si kanatosha au niongeze tuwili tutatu ili mkuu upate karobo kilo ka ugoro....!

Ohoooo nyamchele haya hayafai kuongelea upenuni
 
Last edited by a moderator:
Wee njoo kimyakimya mpaka home tena usiku huu halafu pekeyako naweza kukupa hata bure

Heheheeee huu ni moto wa kuotea mbali nikija mwenyewe bila refa duu.....i mean dalali ...naeza nikakuua maana hamna mwamuz
 
Heheheeee huu ni moto wa kuotea mbali nikija mwenyewe bila refa duu.....i mean dalali ...naeza nikakuua maana hamna mwamuz

Hahahahaaaa usijali nina FAYA TINGISHA ntauzima tuu! Ukija na mpambe ataharibu
 

Attachments

  • 1427278279061.jpg
    1427278279061.jpg
    19.1 KB · Views: 88
Back
Top Bottom