ndio shs. ngapi ya ugoro...?Pesa ya ugoro tu
kama ile ya mboga.....Wazee was escrow wanajua
cute b piga 112 utapata msaada
Pesa ya ugoro tu
Au nitafute mimi
Nina kabilioni hivi ka shopping utanfanya nisiende shopping yangu CA! Si kanatosha au niongeze tuwili tutatu ili mkuu upate karobo kilo ka ugoro....!
Jumla vinauzwa elfu ngapi?
Nielekezee kwako ila nyumban kabisa