Natafuta mteja wa vitunguu maji

Natafuta mteja wa vitunguu maji

Jemmie

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
216
Reaction score
285
Nimelima vitunguu maji nakuvuna gunia takriban 200 natafuta mteja au wateja kwa anahitaji whatsapp namba 0622258133

Aina ya kitunguu ni CHEKUNDU.

Kimepakiwa kwenye gunia saizi ya kati maarufu kama MAGUFULI.
Gunia 1, shilingi 100,000
Nipo Dar es salaam
 
Sasa si useme ulipo na bei angalau, au unafikiri vitunguu ni sawa na dhahabu kwamba wateja lazima wakutafute.

Acha ushamba rafiki hiyo bidhaa ni perishable itakuozea jifunze how to market and sell product..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom