Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 217
- 394
- Thread starter
-
- #21
Kuna watu wanafanya bure tena kwenye MEDIA HOUSE kubwa na sio hivyo tu mpaka wanadeki na kufagia ofisi.wataenda kugombana tu kama hana hela ,vifaa vyenyewe usikute ana laptop moja icore 7 na smartphone ya google pixel,anasema ana media
Unanipangia level ya kuajiri?Hela ya maji ndiyo shilingi ngapi? Nyoosha maelezo. Kama huna hela ya kueleweka ya kumlipa huyo mtangazaji, fanya hilo jukumu wewe mwenyewe. Kwa maana bado hujafikia hatua ya kuitwa mwajiri.
Kumbee? Basi sawaNipo field kituo kimoja cha habari huku Mikindani
Kwenye Media kubwa Kuna viposho Posho anaokota na pia anakua na Ile kitu kuwa hapa uhakika siku moja, ila kama anapata nauli,akiwa mjanja ataokota huko huko kwenye press conference atakazokua anaitwaKuna watu wanafanya bure tena kwenye MEDIA HOUSE kubwa na sio hivyo tu mpaka wanadeki na kufagia ofisi.
Kila la heri mkuu.Nipo field kituo kimoja cha habari huku Mikindani
Sasa watu utawahoji ukiwa getto kwako?Kwakua ni online naweza work from home?
Hua naambiwa nina sauti ya kusikilizika.
Kama naweza work from home niombe kazi. Ila sema hela ya maji shilingi ngapi.
Hiyo ni michezo? Utakoswa kazi asbh tu, halafu pesa ya chai unayo?Ngoja nimchek mwajiri inbox, nikahoji watu n namna gn wamefanikiwa kupitia nyeto 😎
Pesa ya chai sina, ila namshukuru ndugu mwajiri atanipa pesa ya maji 😎Hiyo ni michezo? Utakoswa kazi asbh tu, halafu pesa ya chai unayo?
Sawa elfu 20 inakutosha kwa mwezi mzima!Pesa ya chai sina, ila namshukuru ndugu mwajiri atanipa pesa ya maji 😎
Labda wanipe na ww kama kifungashioSawa elfu 20 inakutosha kwa mwezi mzima!
Sasa tutakula nini? Mimi sitaki shida mbagaLabda wanipe na ww kama kifungashio
Tutajua huko hukoSasa tutakula nini? Mimi sitaki shida mbaga
No, siwezi!👋🏼Tutajua huko huko