Natafuta mtama mwekundu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtama mwekundu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nyendo, Mar 16, 2012.

 1. n

  nyendo Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hallo wanajamii ninaomba mtu yeyote ambaye anaweza kunipatatia mtama mwekundu kwa kiasi cha kila derivery tani kumi anipe bei ya pale alipo kwa kilo moja. Asanteni sana kwa walio serious piga 0764312429. God bless.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  ni serious deal?wewe upo wapi?
   
 3. n

  nyendo Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bukoba ndugu
   
 4. n

  nyendo Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kwamba unatakiwa ulete mzigo bukoba tutapanga bei ya hapo ulipo na mimi nitafuata hapo na sasa nimepata order kubwa kidogo nataka tani 50
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mtama mwekundu unapatikana sana Mkoa wa mara wilaya ya Serengeti kule ndo chakula chao kikuaa, weka na bei kabisa tufanye biashara, Hata tani mia moja unapata,
   
 6. n

  nyendo Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa serious mkuu hebu piga simu au beep tuongee bei sio kuanika hadharani hii ni biashara privacy inatakiwa
   
Loading...