Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,001
- 11,884
Habari wakuu,
Natafuta mtalaam wa telecomunication.
Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani
Natafuta mtalaam wa telecomunication.
Kama yupo hapa naomba ajitokeze hadharani
Siwezi kuandika hapa.....too shallow unataka kufanya nini ....? Sema ushauriwe
Basi kamtafute unakoweza kuandika..Siwezi kuandika hapa.
Sasa utasaidiwajeSiwezi kuandika hapa.
Qualification??Habari wakuu,
Natafuta mtalaam wa telecomunication.
BSc au BEQualification??
Nipo hapa ila I'm overqualified. Ukikosa kabisa mtu unaweza kunicheki! Naweza pia nikakutafutia mtu.BSc au BE
Nina mtu njoo inbox nikupe nambaBSc au BE
BSc au BE
Sasa mtu anahitaji msaada lakini hatoi details za anachokihitaji..!! Atasaidiwaje kama watu hawajaelewa tatizo lake..!?bongo nyoso
Africa mna matatizo sanaSiwezi kuandika hapa.
Tena makubwa sana. Mtu una shida, halafu hutaki kuisema shida yako lakini unategemea watu wakusaidie..!!Africa mna matatizo sana
Boss nadhani nimekujibu swali lako....too shallow unataka kufanya nini ....? Sema ushauriwe
Nimeshakujibu kazi kwakona ana 'masters' , empty skull kabisa