Wana jamvi wenzangu naomba msaada wa kurudisha picha zangu kwenye simu yangu baada kisimu changu cha tecno kuzingua nikakiflash, je naweza kuzipata tena?? Mwenye ujuzi tafadhali anisaidie
Kama unarafiki yako mwenye computer chukuene program ya icare data recover. Pale kwenye hivyo programu ukiifungua kuna kipengele kimeandikwa data lost bonyeza pale harafu itakupeleka kwenye simu yako uliyokwisha kuconnect kwa njia ya usb cable harafu click next itaanza kurudisha harafu ipakuomba kuthibitisha kisha itakuomba uzisave kwenye file unayotaka zikae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.