PRO 90 JF-Expert Member Jul 12, 2012 270 512 Mar 17, 2020 #1 Niaje wadau, Natafuta mtu anayejua kupiga picha vzuri, kucheza na editing za picha. Na hata video. Kama upo njoo PM tuzungumze tuone kama twaeza kushirikiana katk ABC. huwe makin, sio mbabaishaji huwe na uthubutu. Karibu.
Niaje wadau, Natafuta mtu anayejua kupiga picha vzuri, kucheza na editing za picha. Na hata video. Kama upo njoo PM tuzungumze tuone kama twaeza kushirikiana katk ABC. huwe makin, sio mbabaishaji huwe na uthubutu. Karibu.