Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,477
Wapi nitapata mtaalamu wa kucheza na nyuso za watoto (face painting) ikiwezekana nifanye naye kazi au anifundishe kupaint nyuso za watoto!
Kama hivyo!
Kama hivyo!
Hizo hapo juu ni stencil zatumika kuchorea hizo vijisura, tafuta maduka wanauza bidhaa za watoto hasa toys n.k waweza pata, kinawekwa usoni kisha una paint kwenye hizo shape..
Kweli mm msukuma..yaan week lote nawaza napataje mtaalam!haya asante sana mkuu!be blessed!
Hhaaha unakijua kisukuma ww??wasuu ndo nini?😅...!Wasuuuuu.....Oligwa???
😄nna birthday ya watotoUna project gani?
nna birthday ya watoto
Yeah. Inapendeza sana kwenye sherehe za watoto! Hawasahau, ukiiwakusanya wengi inakua rahiisi
Okay...... Upo mkoa gani?😄nna birthday ya watoto
MoroOkay...... Upo mkoa gani?
Okay....ingekua Dar ningekuunganisha na mtu.... But kwa Moro inabidi uendelee kuuliza..... But nakushauri nenda kawaone Painting Artists wowote wenye uwezo wanaweza kufanya Face painting.... Muhimu Rangi tu zipatikane.Moro
Okay....ingekua Dar ningekuunganisha na mtu.... But kwa Moro inabidi uendelee kuuliza..... But nakushauri nenda kawaone Painting Artists wowote wenye uwezo wanaweza kufanya Face painting.... Muhimu Rangi tu zipatikane.
KaribuNtakuja pm asbh