Natafuta mtaalamu wa face painting

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,472
Wapi nitapata mtaalamu wa kucheza na nyuso za watoto (face painting) ikiwezekana nifanye naye kazi au anifundishe kupaint nyuso za watoto!

Screenshot_20191113-183616.png
Screenshot_20191113-183540.png


Kama hivyo!
 
Hizo hapo juu ni stencil zatumika kuchorea hizo vijisura, tafuta maduka wanauza bidhaa za watoto hasa toys n.k waweza pata, kinawekwa usoni kisha una paint kwenye hizo shape..

***************
Ukizikosa kabisa nicheki Prime Minister nikutengenezee.
 
Hizo hapo juu ni stencil zatumika kuchorea hizo vijisura, tafuta maduka wanauza bidhaa za watoto hasa toys n.k waweza pata, kinawekwa usoni kisha una paint kwenye hizo shape..


Kweli mm msukuma..yaan week lote nawaza napataje mtaalam!haya asante sana mkuu!be blessed!
 
Okay....ingekua Dar ningekuunganisha na mtu.... But kwa Moro inabidi uendelee kuuliza..... But nakushauri nenda kawaone Painting Artists wowote wenye uwezo wanaweza kufanya Face painting.... Muhimu Rangi tu zipatikane.

Ntakuja pm asbh
 
Hii kazi nimeifanya sana pale Slip way nikiwa nasoma secondary kuna muindi aliniajiri ila kwa sasa siwezi kufanya kwa sababu ninamishe zangu kubwa zaidi kwa msaada hii kazi anaweza fanya mwenye fani au kipaji cha uchoraji kinyumbe na hapo utadanganya tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom