Natafuta kazi upande wa TEHAMA

Utumishi wako fair

JF-Expert Member
Nov 12, 2021
431
1,335
Jamani Nipo hapa natafuta kazi.

Kama una ofisi, Taasisi, Mtu binafsi...una Tatizo lolote lile Upande wa Computer au Networking, au Printer . Scanner....( Upande huo wa Tehama)

Naomba unitume mimi nifanye hiyo kazi, Malipo ni baada ya kazi yako kukamilika...

Kazi nakuja kuifanya hapo ulipo ... Location Ya Dar Nakuja bila malipo ya usafiri...

Kama upo nje ya Dar malipo ya usafiri yatakuwepo.

NB: kama pia una ofisi, Taasisi unataka kuniajiri au unaona kuna ofisi inaweza niajiri mtu mwenye sifa kama zangu ni sawa unaweza nipa locations.

Asante 🙏.
 
Hongera mkuu,ila ushauri wangu ukipata mtaji baada ya deals kadhaa. Fungua ofisi yako kwa profession kama yako unaweza ukajiajiri na kupata maokoto mengi zaidi tofauti na kuajiliwa. Think positive.
 
Hongera mkuu,ila ushauri wangu ukipata mtaji baada ya deals kadhaa. Fungua ofisi yako kwa profession kama yako unaweza ukajiajiri na kupata maokoto mengi zaidi tofauti na kuajiliwa. Think positive.
Mkuu Asante Sana, Tayari Nina kaofisi ila Bado hakajakua 🤣, Hivyo still natafuta deals hata kuajiriwa ili kikue..
 
Wakuu mbona Mnanipita Tuuu, ina maana hauna Laptop au desktop Mbovu, ambayo unahitaji ipone..??

Okay sawa tuseme huna, Ofisini kwenu hakuna Desktop mbovu? Hakuna laptop ni nzito mpka mnaikimbia?? Okay Networking basi Mnapata ?? Cable hazisumbuiii??? Okay basi sawa kila kitu kipo sawa...

Hauna hata stationery unataka kuweka network? Yani mteja akikaa kwenye PC yoyote aweze Ku print?? Okay hutaki kubadirisha Windows??

Basi sawa, Mfano tuseme labda una shule una mwalimu wa computer??

Mbona hivyo wakuu mnataka nilale njaa .... Wewe nipe kazi yoyote ya computer nakuja kufanya ulipo na malipo ni baada ya kazi.
 
Hongera mkuu,ila ushauri wangu ukipata mtaji baada ya deals kadhaa. Fungua ofisi yako kwa profession kama yako unaweza ukajiajiri na kupata maokoto mengi zaidi tofauti na kuajiliwa. Think positive.
toa mfano eleza kwa kina officeya aina gani wapi na unapataje hizo kazi je zinatangazwa au nazitafuta?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom