Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata begi langu

Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata begi langu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Mimi nashida ya kupata mtaalam wa dawa atakayeweza kukusaidia kupata begi langu lilikua na vitu vyangu Vya msingi ambalo aliliazima Rafiki yangu akidai atalirudisha baada ya dk kumi Tu lakin mpaka sasa hajarudisha beg langu yapata miezi mitatu sasa na huu wa tisa Ni wa nne.

Naombeni msaada wenu wana jf maana kwao sipajui ila nafahamu alipokua amepanga tu napo ameshahama haelewek alipohamia simu yangu alishaiblock hata nikitumia no tofauti akisikia sauti yang tu hataki kusema wapi alipo hata nikituma SMS kwa no tofauti hajibu.

Naombeni saaana msaada wenu maana nawaza saaana kuhusu vitu vyangu huenda kaenda kufanyia mambo yake sababu kulikua na nguo pia nawaza saaana mpaka nimeamua kuwaeleza
 
Report polisi watakusaidia nadhani wanazo mbinu nyingi zinazoweza saidia kumtia jamaa nguvuni as long yupo hewani!
 
Nenda sehemu inaitwa Kwa Msisiri wapo wengi sana
 
Back
Top Bottom