Mkuu ninaomba tuwasiliane PM ninahitaji huyu mtaalam. Ukweli kuna mambo mengine hayahitaji kwenda hospital za kawaida. Wataalam wapo hata vitabu vya imani vimeweka wazi. Please, assist me please.Ni Pm number yako ni kuelekeze handeni kwa mtaalamu mmoja hivi.
Niko hapaKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
Kwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
Mtu anaweza kua anatambua wataalamu zaidi ya kumi,na wanakuwepo wa kutatua matatizo mbalimbali,usipoweka shida zako hapa watu wajue uzito wa swala lako wampe mtaalamu gani utajikuta unapasua kichwa badala ya gotiKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
Wakuu nami kuna mambo yangu nataka kuyaweka sawa nitapata wapi dakta wa jadi
Huyo tapelimanyaunyau atakusaidia anapatikanika kiwalani bom bom
Mganga Mungu tu ndugu yanguKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
kuna matatizo yanachanganya hadi unaona kama Mungu kakusahau vile.......majaribu ni mtaji.Mungu akupe wepesi. Kesi ya baba mkwe unampelekea mama mkwe. The devil is the master of deception.
Tatizo kubwa ni kwamba binadamu huwa tunapenda njia za mkato sana. Piga goti chini mpaka livuje damu uone kama Mungu hatashuka kutoka kwenye kiti chake cha enzi.
Mganga anaaminishwa na shetani kuwa anasaidia binadamu...masikini. Anakupa A, lakini anakunyang'anya B.
Kweli Mkuu. Ninamuelewa sana, tena sana. Ndio maana nikasema Mungu ampe wepesi. Kkwa sababu comment Yangu imetokana na p'personal experience' na imetoka kwenye chembe ya moyo Wangu. Mitihani ya dunia iliwahi kunichanganya saaana, mpaka nikawekwa unyumba na mganga katika kuhangaika kutafuta msaada, tena Wa handeni, huyo jamaa ni 'noma' kwa lugha rahisi ya kueleweka. Mpaka kuja kuchomoka kwenye hiyo dunia, ni kwa kupiga magoti HASA. Kwa hiyo najua ninachokiongea. Ni historian ndefu sana.kuna matatizo yanachanganya hadi unaona kama Mungu kakusahau vile.......majaribu ni mtaji.
hawa hapa cc mshanajr mzizimkavu LIKUD.. kila lakheri
ila kumbuka amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake AMELAANIWA....
Umejiunga leo leo na leo leo unatafuta Mganga wa jadi? Hebu nitafute nitaweza kukusaidia ukihitaji huduma yangu bonyeza hapa.MawasilianoKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.