MtuFulani8
Member
- Jun 27, 2015
- 92
- 21
Natafuta mtu wa kuzaa naye mtoto! Huduma zote nitatoa! Mimi ni wa kiume. Serious
Umeoa???ukimpata utamlipa sh ngapi??benefits...
Weka mkataba vizuri....maana sijakusoma
So unatafuta incubator,?
Huduma zote kama zipi? mama akifa wkt wa kujifungua? Sijazaa lkn kukuzalia wewe hapanaa uwenda ukawa unatafuta kafaraa maana siku hizi hamchelewiii kujiunga kule nakosikia sasa sijui ni kweli panafanyaga kazi au maneno mbofuumboofuuu ya watu!
Hahahaha.. Kutumiana tu...kizalishio????
yeye ni wakiume .. akiwa mwanaume nadhani ataoajamaa anahitaji mtoto na hatak mke...!!!!
nikuulize mtoa mada ni kwann unataka mtoto na hutak mke...!!???
una plan gan na huyo mtoto au ndo masharti ya mganga..!!!
Unatafuta mtu wa aina gani?
jamaa anahitaji mtoto na hatak mke...!!!!
nikuulize mtoa mada ni kwann unataka mtoto na hutak mke...!!???
una plan gan na huyo mtoto au ndo masharti ya mganga..!!!
yeye ni wakiume .. akiwa mwanaume nadhani ataoa
Yeyote kati yao ajitokeze tuweke mpango kazi!