ukiona hakuna anaefikia kiwango lazma upunguze vigezo.18-40 mbona preference gap ni kubwa sana mkuu?
Mwisho watakuja mama na mtoto wake 18-40???ukiona hakuna anaefikia kiwango lazma upunguze vigezo.
Alipata mtoto wa kile akiwa binti wa 18 years old.Mwisha watakuja mama na mtoto wake 18-40???
Ukiingia JF inabidi uwe faragha zaidi ya kuangalia picha za ngono. Unakutana na mkweo humu kila siku unamwita mkuu.Alipata mtoto wa kile akiwa binti wa 18 years old.
Leo mwanae ana 22 years old .
Mama wa binti katimiza 40 years old .
Wote tupo nao humu jf, na bahati njema wote wameliona tangazo hili la jamaa...
Mkuu Me too tafadhali usinisahau katika ufalme wako wa pilau na nyama mkishaelewana na kaka huko PM.Dah kupima nimekupenda bure safi sana IN GOD WE BELIVE!
Ukiona hivyo muoaji ni chief bachelor. Hahahahaha18-40 mbona preference gap ni kubwa sana mkuu?
Hahahahaha. Au anakufuata pmUkiingia JF inabidi uwe faragha zaidi ya kuangalia picha za ngono. Unakutana na mkweo humu kila siku unamwita mkuu.
HahahahahahaHapa JF unaweza kuopoa Dada yako bila kujuana...
nilikuwa busy, nikashindwahalijaisha cute shy bado linaendelea ww tuma maombi tu utajibiwa
nipe tender ya kukutengenezea kadi na keki za harusi yako pamoja na niwe MC kwenye harusi yako ukishampata huyo mrembo wakojamani nashukuru nazidi kupokea maombi naiman nikimpata wa kweli nitamuweka hapa ila mchakato upo ukingon na ndoa itakuwa ndani ya uhuu mwaka
usijali ladyfurahia umeshapata tenda ww niombe tu nimpate uyo mke mwemanipe tender ya kukutengenezea kadi na keki za harusi yako pamoja na niwe MC kwenye harusi yako ukishampata huyo mrembo wako
Miss u too!, naona tuko bize kweli kweli rafiki!mic u duh!!!!!!!
Hahahaaaa unapokea maombi??? Vpi mchujo unaanza linijamani nashukuru nazidi kupokea maombi naiman nikimpata wa kweli nitamuweka hapa ila mchakato upo ukingon na ndoa itakuwa ndani ya uhuu mwaka
nimecheka Sana thanks kwa kunitengezea sikuAlipata mtoto wa kile akiwa binti wa 18 years old.
Leo mwanae ana 22 years old .
Mama wa binti katimiza 40 years old .
Wote tupo nao humu jf, na bahati njema wote wameliona tangazo hili la jamaa...
HahaaUkiingia JF inabidi uwe faragha zaidi ya kuangalia picha za ngono. Unakutana na mkweo humu kila siku unamwita mkuu.
Hata mimi nimeanza kustukia picha, maana nahisi hua tuna pishana na kijana wangu humu, na istoshe yawezekana nilisha muita mkuuUkiingia JF inabidi uwe faragha zaidi ya kuangalia picha za ngono. Unakutana na mkweo humu kila siku unamwita mkuu.