MBOPOLI
Senior Member
- Aug 12, 2015
- 160
- 27
NIPMHata mimi nahitaji na mshahara ni kuanzia 100,000/- na unaweza kufikia laki unusu kwa juhudi ya mdada; hebu nipatie huo mchongo mkuu
NIPMHata mimi nahitaji na mshahara ni kuanzia 100,000/- na unaweza kufikia laki unusu kwa juhudi ya mdada; hebu nipatie huo mchongo mkuu
Naomba nikupigie kuhusu mdada wa kazi pleaseUpo sehemu na ukubwa wa nyumba
Habari je umepata mfanyakazi pls Nipigie kwa number kama haujapata 0676019019 nina msichana mwenye mtoto anataka kazi fasterNiko Dar, naishi na mtoto wa nursery anajielewa. Naitaji mdada mwaminifu wa kua msaidizi wa kazi za ndani na kumuandaa mtoto asubuhi aende shule.
Mara nyingi ni mtu atakayebaki na mtoto na nyumba kutokana na kazi zangu. Nahitaji mdada mwaminifu.
Kwa yeyote mwenye kufahamu mtu anayeitaji nijulishe popote mkoani ntatuma nauli.
Mshahara 40,000
Utapeli!!naona KIM2 in the buildingHabari je umepata mfanyakazi pls Nipigie kwa number kama haujapata 0676019019 nina msichana mwenye mtoto anataka kazi faster
Mi npo tayari mwenyewe ila ni me..
Nataka moneyUnataka ukampikie mume wa mama mwenye nyumba?
Watu mna manenoKwahilo gubu ulilo nalo wanaanzaje ata kumaliza wiki.jikague
Fungua thread yakoHabr....Nataft kaz ya ndan...Lkn Icwe ya kuingia kila ck....Pia Icwe ya kulala...Anaehtaj antaft ....Namba yang n 0659449374
Habr....Nataft kaz ya ndan...Lkn Icwe ya kuingia kila ck....Pia Icwe ya kulala...Anaehtaj antaft ....Namba yang n 0659449374