Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Niko Dar, naishi na mtoto wa nursery anajielewa. Naitaji mdada mwaminifu wa kua msaidizi wa kazi za ndani na kumuandaa mtoto asubuhi aende shule.

Mara nyingi ni mtu atakayebaki na mtoto na nyumba kutokana na kazi zangu. Nahitaji mdada mwaminifu.

Kwa yeyote mwenye kufahamu mtu anayeitaji nijulishe popote mkoani ntatuma nauli.

Mshahara 40,000
 
Nipo tabata.Nyumba ni ya vyumba viwili sebule jiko na choo.
 
Mi npo tayari mwenyewe ila ni me..
 
Dada mshahara mdogo sana,Mtu unae mwamini akae na familia yako kwa mshahara huo hautoshi,40,000 ni zamani sana,inatakiwa kima cha chini cha serikali,kwa sababu walitangaza
 
Nitext kwenye 0629298812, kuna mdadaa yupo kinondoni hana ishu ya kufanya nikuunganishe nae m-discuss profitability ya kazi yako.
 
Kwahilo gubu ulilo nalo wanaanzaje ata kumaliza wiki.jikague
 
Mimi ni mwanaume lakini naweza fanya kazi hiyo, kama upo serious ni PM
 
Kwer in pesa ndogo rkin itamsaidia atakula bure,kulala,naomba tu usiwe unawaongezea mikaz mingi na manyanyaso huwa malalamiko yanatokea sana kuhus swala hilo
 
Nitext kwenye 0629298812, kuna mdadaa yupo kinondoni hana ishu ya kufanya nikuunganishe nae m-discuss profitability ya kazi yako.
Hata mimi nahitaji na mshahara ni kuanzia 100,000/- na unaweza kufikia laki unusu kwa juhudi ya mdada; hebu nipatie huo mchongo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom