mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,627
Kulea watoto elfu 40 kweli uwe makini usitesewe watoto au kulishwa mambo ya ajabu kama vyakula vya ovyo baridi etc. Hata ndugu yako hatakaa nawe.
Wengi wanawapa yote uliyotaja na kuanzia laki msichana nae ajijenge sio kuteseka bila kuendelea.
Ndio maana hauna msichana acheni ubahiri.
Wengi wanawapa yote uliyotaja na kuanzia laki msichana nae ajijenge sio kuteseka bila kuendelea.
Ndio maana hauna msichana acheni ubahiri.