Natafuta Msichana wa kazi za ndani

Natafuta Msichana wa kazi za ndani

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Ndugu zangu

NIna shida na msichana wa kazi za ndani umri mika 15-18, nimeliwa sana hela nimeambiwa nitume nauli kila nikituma nakutana na wajanja, hawamleti kwa safari hii, akipatikana apande gari akifika stendi narudisha hapo hapo nimeshindwa kubaini mkweli na muongo ni yupi, sihitaji wa mjini nataka wa kijijini ili aelekezwe. sina mtoto mchanga asifikiri anakuja kupata tabu ya kufua nepi.

mweye kufahamu njia za kumpata anisaidie au anielekeze. matusi na kejeli sitaki, kama huwezi saidia pita hivi
 
Wapi napata msichana/mdada wa kazi za ndani? Nahitaji.
 
Wapo huku kijijini Kigoma, ila ni waoga waoga!
 
Kwanini isiwe 18+ ? 15/16/17 ni watoto,sheria hairuhusu kuajiri watoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom