kama kweli unamtafuta kama mimi basi namjibia.
Hayuko tayari kuolewa, labda awe sio kama Erotica.
Ila sifa zote hizo ninazo na zaidi ya hapo teh teh teh.
Hahahah........maana yake ni kwamba, anakutaka wewe!!!
wewe mwenyewe mzuri?
Wewe mwenyewe sio wa kichina?
Hahahah........maana yake ni kwamba, anakutaka wewe!!!
kama kweli unamtafuta kama mimi basi namjibia.
Hayuko tayari kuolewa, labda awe sio kama Erotica.
Ila sifa zote hizo ninazo na zaidi ya hapo teh teh teh.
mi mwenyewe wa ukweli,kitu genuine kutoka kwa sir God, vp upo tayari?
Ukimuona mwenzio vinyozi wanamnasihi anyolewe!
Zako kuta unaziandalia maji!
Mi ni kijana rijali,natafuta msichana ili tukielewana awe mke wangu wa ndoa, awe mkristo,mzuri,co wa kichina, muelewa na mvumilivu katika maisha! Ni haya tu wanajamii, atakayependezwa naomba ani PM, ucku mwema!
Hahahah........maana yake ni kwamba, anakutaka wewe!!!