Natafuta mshenga

Natafuta mshenga

ndongandonga

New Member
Joined
Dec 19, 2019
Posts
4
Reaction score
4
kwema wakuu, nahitaj mshenga mwenye uzoefu wa hayo mambo.. Mtonyo wa mafuta upo. karibu DM
 
Hivi haya mambo Bado ipo?! nikushauri tu, hizo pesa za kumuonga mshenga, ziongezee upate pete ya thamani umvishe huyo mrembo akaonyeshe kwao. Achana na mambo ya kizamani.
 
mshenga jf unapata tapeli la kimataifa ufurahi na roho yako anyway nenda jukwaa la mapenzi kule washenga wako wengi sana
 
Wewe utakuwa unataka kuingiza watu mkenge, kuna kipindi nipo Arusha kuna jamaa nilifahamiana naye kwa kipindi kifupi sana,
Sasa akaniomba niwe mshenga kwa binti flani ambaye nilikuwa nafahamiana naye na mimi nikakubali,
Jamaa kumbe hakua na nia ya kuoa, kumbe jamaa alikuwa amemtongoza huyo binti na alikuwa amemkatalia.
Mimi na jamaa zangu wengine tukajitosa kwa Baba wa binti kupeleka posa baada ya mashauriano marefu sana na hadi binti aliitwa akashangaa sana kuhusu hiyo posa kwani alieleza kwamba kweli huyo kaka alishamfata akamkatalia hata hiyo posa hajaambiwa kama italetwa.
ila kwa ushawishi wetu mkubwa na heshima yetu posa ilikubaliwa. sasabana baada ya posa kukubaliwa jamaa akawa anamchukua binti anatoka naye kama mchumba wake.weekend binti anakwenda kushinda nyumbani kwa huyo jamaa inavyoonekana na mzigo alikuwa anakula.
Baada ya mwezi 1 jamaa si akapotea yaani halafu tulikuwa hatujui hata kwao wala ndugu yake hata mmoja mi aliniambiaa ametokea mbeya kaja arusha kutafuta maisha.
Binti nadhani baada ya kumkosa mchumba wake alitoa taarifa kwa wazazi wake ambao wakanitafuta mimi mshenga
Nilipigwa maswali ya kufa mtu kijana yupo wapi majibu sina yaani ikaonekana na mimi mshenga nilicheza dili kupeleka posa ya uongo ili kumsaidia jamaa ale mzio kilaini wakati hakua na nia ya kuoa.
Yaani sintosahau huo upuudhi kwani sikutegemea kabisa nilijua jamaa ana nia kweli ya kumuoa huyo binti.
huyo jamaa sijawahi onana naye tena .
Thanks huyo binti alishaolewa na mtu mwingine.
Kwa hiyo we jamaa kwa nini utake kutafuta mshenga huku JF usitafute ndugu zako au wazee wa heshima majirani zako unataka umfanyie mchezo kama huo nini?
 
Duh kweli mabaharia wakiamua ubaharia hakuna wakuwazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia Aishiwi Mbinu za kuchakata kiwanda cha kufyatua Watoto
 
Huyo ndo baharia

Back
Top Bottom