Nipigie tuongee 0673859583Huyu atafanyakazi jumapili tu nikiwepo.
DuhWewe ni wale wale!mwenzako yuko serious unaleta utani!!Kwan pale matumbi unakaaga kodi unalipaje
Natafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.
Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.
Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.
NB: Mimi sio mbabaishaji kwahio naomba wababaishaji wasinipotezee muda. Ukikubaliana na mimi utakuja kufanya hii kazi ujue kuna mwingine namwambia nimeshapata hivyo usiwe kigeugeu tunapotezeana muda.
Mpaka leo?Bado sijapata, niunganishe.